Ufundishaji wa Kiswahili katika Mazingira ya Kidijitali

Authors

  • Ibrahim Elhadi M. Lehmedi Idara ya lugha na taaluma za kiafrika, kitivu cha lugha. Chuo Kikuu cha Sebha, Libya Author
  • Mohammed younis Khalifa Idara ya lugha na taaluma za kiafrika, kitivu cha lugha. Chuo Kikuu cha Sebha, Libya Author
  • Saad Bouazom mehimed Idara ya lugha na taaluma za kiafrika, kitivu cha lugha. Chuo Kikuu cha Sebha, Libya Author

DOI:

https://doi.org/10.5281/zx241h45

Keywords:

Akili bandia, Kidijitali, changamoto, Ufundishaji wa Kiswahili, Teknolojia

Abstract

Makala hii inachunguza ufundishaji na ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili ndani ya mazingira ya kidijitali. Lengo ni kuonyesha wazi fursa na changamoto zinazojitokeza kutokana na utekelezaji wa teknolojia ya habari, mawasiliano na akili bandia (AB) ili kuimarisha Kiswahili kama lugha ya kimataifa.
Tutajadili aina mbalimbali za mbinu, zana na majukwaa ya kidijitali yanayotumika, pamoja na jinsi ( AB ) inavyoboresha uzoefu wa kujifunza. Pia tutagusa masuala kama vile upatikanaji wa rasilimali, usawa wa kidijitali na hitaji la kuendeleza maudhui ya Kiswahili mtandaoni. Kwa mwisho, utafiti huu unatoa mapendekezo kwa waelimishaji, watengenezaji wa sera na wa teknolojia wote ili kufanya ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kuwa bora zaidi katika enzi hii.

References

مجلة القلم المنير للعلوم الانسانية والتطبيقية

Downloads

Published

2026-03-02