Ufundishaji wa Kiswahili katika Mazingira ya Kidijitali
DOI:
https://doi.org/10.5281/zx241h45Keywords:
Akili bandia, Kidijitali, changamoto, Ufundishaji wa Kiswahili, TeknolojiaAbstract
Makala hii inachunguza ufundishaji na ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili ndani ya mazingira ya kidijitali. Lengo ni kuonyesha wazi fursa na changamoto zinazojitokeza kutokana na utekelezaji wa teknolojia ya habari, mawasiliano na akili bandia (AB) ili kuimarisha Kiswahili kama lugha ya kimataifa.
Tutajadili aina mbalimbali za mbinu, zana na majukwaa ya kidijitali yanayotumika, pamoja na jinsi ( AB ) inavyoboresha uzoefu wa kujifunza. Pia tutagusa masuala kama vile upatikanaji wa rasilimali, usawa wa kidijitali na hitaji la kuendeleza maudhui ya Kiswahili mtandaoni. Kwa mwisho, utafiti huu unatoa mapendekezo kwa waelimishaji, watengenezaji wa sera na wa teknolojia wote ili kufanya ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kuwa bora zaidi katika enzi hii.
References
Downloads
Published
Issue
Section
License
Copyright (c) 2026 Alqalam Almoner

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 4.0 International License.


